The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 14 › Proverbs 14:6

Proverbs 14:6

Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, 2 bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A scorner seeketh wisdom, and findeth it not: but knowledge is easy unto him that understandeth.

In Context

5Shahidi mwaminifu hadanganyi, 2 bali shahidi wa uongo humimina uongo. 1

7Kaa mbali na mtu mpumbavu, 2 kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. 1

Read all of Proverbs 14

Cross References

Psalms 119:98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, 2 kwa kuwa nimezishika daima. 1

Proverbs 8:9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; 2 hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. 1

Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1

Proverbs 18:2Mpumbavu hafurahii ufahamu, 2 bali hufurahia kutangaza 2 maoni yake mwenyewe. 1

Proverbs 26:12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1

Jeremiah 8:9Wenye hekima wataaibika, 2 watafadhaika na kunaswa. 1 Kwa kuwa wamelikataa neno la Bwana, 2 hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 14:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 14:5Proverbs 14Proverbs 14:7 →