Proverbs 15:13
Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke, 2 bali maumivu ya moyoni huponda roho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A merry heart maketh a cheerful countenance: but by sorrow of the heart the spirit is broken.
In Context
12Mwenye mzaha huchukia maonyo; 2 hatataka shauri kwa mwenye hekima. 1
14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 1
Cross References
Proverbs 12:25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, 2 bali neno la huruma humfurahisha. 1
Proverbs 17:22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri, 2 bali roho iliyopondeka hukausha mifupa. 1
John 14:1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
2 Corinthians 2:7Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.