Proverbs 15:3
Macho ya Bwana yako kila mahali, 2 yakiwaangalia waovu na wema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The eyes of the LORD are in every place, beholding the evil and the good.
In Context
2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1
Cross References
2 Chronicles 16:9Kwa kuwa macho ya Bwana hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.”
Job 31:4Je, yeye hazioni njia zangu 2 na kuihesabu kila hatua yangu? 1
Psalms 33:13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini 2 na kuwaona wanadamu wote; 1
Jeremiah 16:17Macho yangu yanaziona njia zao zote, hazikufichika kwangu, wala dhambi yao haikusitirika.
Jeremiah 32:19makusudi yako ni makuu, na matendo yako ni yenye uwezo. Macho yako yanaona njia zote za wanadamu, nawe humlipa kila mmoja kulingana na mwenendo wake, na kama yanavyostahili matendo yake.