Proverbs 15:2
Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The tongue of the wise useth knowledge aright: but the mouth of fools poureth out foolishness.
In Context
1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1
3Macho ya Bwana yako kila mahali, 2 yakiwaangalia waovu na wema. 1
Cross References
Psalms 59:7Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao, 2 hutema upanga kutoka midomo yao, 2 nao husema, “Ni nani atakayetusikia?” 1
Proverbs 12:23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, 2 bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 1
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Proverbs 16:23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake, 2 na midomo yake huchochea mafundisho. 1
Ecclesiastes 10:12Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima 2 yana neema, 2 bali mpumbavu huangamizwa 2 na midomo yake mwenyewe. 1