Proverbs 16:13
Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Righteous lips are the delight of kings; and they love him that speaketh right.
In Context
12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1
14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1
Cross References
Proverbs 14:35Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, 2 bali ghadhabu yake humwangukia 2 mtumishi mwenye kuaibisha.