Proverbs 16:12
Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is an abomination to kings to commit wickedness: for the throne is established by righteousness.
In Context
13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; 2 humthamini mtu asemaye kweli. 1
Cross References
2 Chronicles 17:5Kwa hiyo Bwana akauimarisha ufalme chini ya uongozi wake, nao Yuda wote wakamletea Yehoshafati zawadi, hivyo akawa na utajiri mwingi na heshima.
Proverbs 20:18Fanya mipango kwa kutafuta mashauri, 2 ukipigana vita, tafuta maelekezo. 1
Proverbs 28:9Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria, 2 hata maombi yake ni chukizo. 1
Proverbs 29:14Kama mfalme akiwaamua maskini kwa haki, 2 kiti chake cha enzi kitakuwa thabiti siku zote. 1
Revelation 19:11Kisha nikaona mbingu imefunguka na hapo mbele yangu akiwepo farasi mweupe, ambaye yeye aliyempanda aliitwa Mwaminifu na Kweli. Yeye huhukumu kwa haki na kufanya vita.