Proverbs 16:15
Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai; 2 upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the light of the king’s countenance is life; and his favour is as a cloud of the latter rain.
In Context
14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1
16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, 2 kuchagua ufahamu kuliko fedha! 1
Cross References
Job 29:23Waliningojea kama manyunyu ya mvua 2 na kuyapokea maneno yangu 2 kama ardhi inyonyavyo mvua ya vuli. 1
Psalms 21:6Hakika umempa baraka za milele, 2 umemfanya awe na furaha 2 kwa shangwe ya uwepo wako. 1
Psalms 72:6Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa, 2 kama manyunyu yanyeshayo ardhi. 1
Proverbs 29:26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, 2 bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 1
Zechariah 10:1Mwombeni Bwana mvua wakati wa vuli; 2 ndiye Bwana atengenezaye mawingu ya tufani. 1 Huwapa watu manyunyu ya mvua, 2 pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. 1