The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 10 › Zekaria 10:1

Zekaria 10:1

Mwombeni Bwana mvua wakati wa vuli; 2 ndiye Bwana atengenezaye mawingu ya tufani. 1 Huwapa watu manyunyu ya mvua, 2 pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ask ye of the LORD rain in the time of the latter rain; so the LORD shall make bright clouds, and give them showers of rain, to every one grass in the field.

In Context

2Sanamu huzungumza udanganyifu, 2 waaguzi huona maono ya uongo; 1 husimulia ndoto ambazo si za kweli, 2 wanatoa faraja batili. 1 Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo 2 walioonewa kwa kukosa mchungaji. 1

Read all of Zekaria 10

Cross References

Deuteronomy 28:23Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.

1 Kings 18:41Eliya akamwambia Ahabu, “Nenda, ukale na kunywa, kwa kuwa kuna sauti ya mvua kubwa.”

Job 36:27“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1

Psalms 65:9Waitunza nchi na kuinyeshea, 2 waitajirisha kwa wingi. 1 Vijito vya Mungu vimejaa maji 2 ili kuwapa watu nafaka, 2 kwa maana wewe umeviamuru. 1

Psalms 104:13Huinyeshea milima kutoka orofa zake, 2 dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 1

Proverbs 16:15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai; 2 upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 10:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Zekaria 10Zekaria 10:2 →