The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 16 › Proverbs 16:18

Proverbs 16:18

Kiburi hutangulia maangamizi, 2 roho ya majivuno hutangulia maanguko. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Pride goeth before destruction, and an haughty spirit before a fall.

In Context

17Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; 2 yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 1

19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho 2 miongoni mwa walioonewa 2 kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 1

Read all of Proverbs 16

Cross References

Judges 11:28Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta.

Esther 6:6Hamani alipoingia, mfalme alimuuliza, “Afanyiwe nini mtu ambaye mfalme apenda kumheshimu?” Basi Hamani akawaza moyoni mwake, “Ni nani mwingine ambaye mfalme angemheshimu kuliko mimi?”

Proverbs 11:2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, 2 bali unyenyekevu huja na hekima. 1

Proverbs 18:12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, 2 bali unyenyekevu hutangulia heshima. 1

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 37:38Siku moja, alipokuwa akiabudu katika hekalu la mungu wake Nisroki, wanawe Adrameleki na Shareza wakamuua kwa upanga, nao wakakimbilia nchi ya Ararati. Naye Esar-Hadoni mwanawe akawa mfalme badala yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 16:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 16:17Proverbs 16Proverbs 16:19 →