Proverbs 16:17
Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; 2 yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The highway of the upright is to depart from evil: he that keepeth his way preserveth his soul.
In Context
16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, 2 kuchagua ufahamu kuliko fedha! 1
18Kiburi hutangulia maangamizi, 2 roho ya majivuno hutangulia maanguko. 1
Cross References
Job 1:1Katika nchi ya Usi paliishi mtu ambaye aliitwa Ayubu. Mtu huyu alikuwa hana hatia, naye alikuwa mkamilifu; alimcha Mungu na kuepukana na uovu.
Proverbs 4:24Epusha kinywa chako na ukaidi; 2 weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako. 1
Proverbs 19:16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, 2 bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 1
Proverbs 22:5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego, 2 bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo. 1
Matthew 24:13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
Acts 24:16Kwa hiyo ninajitahidi siku zote kuwa na dhamiri safi mbele za Mungu na mbele za wanadamu.