The Bible Software
bible.software › Mithali › Mithali 16 › Mithali 16:3

Mithali 16:3

Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo, 2 nayo mipango yako itafanikiwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Commit thy works unto the LORD, and thy thoughts shall be established.

In Context

2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, 2 bali makusudi hupimwa na Bwana. 1

4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; 2 hata waovu kwa siku ya maangamizi. 1

Read all of Mithali 16

Cross References

Job 5:8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, 2 ningeliweka shauri langu mbele zake. 1

Psalms 37:4Jifurahishe katika Bwana 2 naye atakupa haja za moyo wako. 1

Psalms 55:22Mtwike Bwana fadhaa zako, 2 naye atakutegemeza, 2 hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke. 1

Isaiah 7:5Aramu, Efraimu na mwana wa Remalia wamepanga shauri baya ili wakuangamize, wakisema,

Luke 12:22Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake: “Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini.

1 Peter 5:7Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mithali 16:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mithali 16:2Mithali 16Mithali 16:4 →