Proverbs 16:21
Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, 2 na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wise in heart shall be called prudent: and the sweetness of the lips increaseth learning.
In Context
20Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, 2 tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana. 1
22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, 2 bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 1
Cross References
Psalms 45:2Wewe ni bora kuliko watu wengine wote 2 na midomo yako imepakwa neema, 2 kwa kuwa Mungu amekubariki milele. 1
Proverbs 10:13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, 2 lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 1
Proverbs 15:7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, 2 bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 1
Proverbs 23:15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, 2 basi moyo wangu utafurahi, 1
Ecclesiastes 12:10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.
Luke 4:22Wote waliokuwako wakamsifu na kuyastaajabia maneno yake yaliyojaa neema, wakaulizana, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?”