Proverbs 16:23
Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake, 2 na midomo yake huchochea mafundisho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The heart of the wise teacheth his mouth, and addeth learning to his lips.
In Context
22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, 2 bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 1
24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, 2 ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 1
Cross References
Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1
Psalms 45:1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema 2 ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; 2 ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 1
Proverbs 15:7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa, 2 bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 1
Proverbs 22:17Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, 2 elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 1
Colossians 3:16Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.