Proverbs 22:17
Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, 2 elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Bow down thine ear, and hear the words of the wise, and apply thine heart unto my knowledge.
In Context
18kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako 2 na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. 1
Cross References
Psalms 90:12Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, 2 ili tujipatie moyo wa hekima. 1
Proverbs 2:2kutega sikio lako kwenye hekima 2 na kuweka moyo wako katika ufahamu, 1
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Proverbs 8:33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima; 2 msiyapuuze. 1
Ecclesiastes 7:25Nikageuza fikira zangu ili kuelewa, 2 kuchunguza na kuitafuta hekima 2 na kusudi la mambo, 1 na ili kuelewa ujinga wa uovu, 2 na wazimu wa upumbavu. 1
Ecclesiastes 8:16Nilipotafakari akilini mwangu ili nijue hekima na kuangalia kazi ya mwanadamu duniani, jinsi ambavyo macho yake hayapati usingizi mchana wala usiku,