Proverbs 18:8
Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; 2 huingia sehemu za ndani sana za mtu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The words of a talebearer are as wounds, and they go down into the innermost parts of the belly.
In Context
7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake 2 na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 1
9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Cross References
Psalms 52:2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. 2 Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila. 1
Proverbs 12:18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1
Proverbs 26:20Bila kuni moto huzimika; 2 pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 1