The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 15 › Proverbs 15:18

Proverbs 15:18

Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, 2 bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A wrathful man stirreth up strife: but he that is slow to anger appeaseth strife.

In Context

17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo 2 kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki. 1

19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, 2 bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 1

Read all of Proverbs 15

Cross References

Genesis 13:8Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.

1 Samuel 25:24Akamwangukia miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.

Proverbs 10:12Chuki huchochea faraka, 2 lakini upendo husitiri mabaya yote. 1

Proverbs 15:1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1

Proverbs 22:24Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira ya haraka, 2 usishirikiane na yule aliye mwepesi kukasirika, 1

Proverbs 26:21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, 2 ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 15:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 15:17Proverbs 15Proverbs 15:19 →