Proverbs 16:30
Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; 2 naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shutteth his eyes to devise froward things: moving his lips he bringeth evil to pass.
In Context
29Mtu mkali humvuta jirani yake 2 na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 1
31Mvi ni taji ya utukufu; 2 hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 1
Cross References
Proverbs 6:12Mtu mbaya sana na mlaghai, 2 ambaye huzungukazunguka 3 na maneno ya upotovu, 2
Proverbs 16:27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, 2 maneno yake ni kama moto uunguzao. 1
Micah 7:3Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya, 2 mtawala anadai zawadi, 1 hakimu anapokea rushwa, 2 wenye nguvu wanaamuru wanachotaka: 2 wote wanafanya shauri baya pamoja. 1
Matthew 14:7kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.
John 3:20Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.