The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 7 › Micah 7:3

Micah 7:3

Mikono yote miwili ni hodari katika kufanya ubaya, 2 mtawala anadai zawadi, 1 hakimu anapokea rushwa, 2 wenye nguvu wanaamuru wanachotaka: 2 wote wanafanya shauri baya pamoja. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That they may do evil with both hands earnestly, the prince asketh, and the judge asketh for a reward; and the great man, he uttereth his mischievous desire: so they wrap it up.

In Context

2Wanaomcha Mungu wameondolewa kutoka nchi; 2 hakuna mtu mnyofu hata mmoja aliyebaki. 1 Watu wote wanavizia kumwaga damu, 2 kila mmoja anamwinda ndugu yake kwa wavu. 1

4Aliye mwema kupita wote kati yao 2 ni kama mchongoma, 1 anayeonekana mnyofu zaidi miongoni mwao 2 ni mbaya kuliko uzio wa miiba. 1 Siku ya walinzi wako imewadia, 2 siku atakayokutembelea Mungu. 1 Sasa ni wakati wao 2 wa kuchanganyikiwa. 1

Read all of Micah 7

Cross References

1 Kings 21:9Katika barua hizo aliandika: “Tangazeni siku ya watu kufunga na mkamketishe Nabothi mahali pa wazi miongoni mwa watu.

Proverbs 16:30Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; 2 naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 1

Isaiah 26:21Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake 2 ili kuwaadhibu watu wa dunia kwa ajili ya dhambi zao. 1 Dunia itadhihirisha umwagaji damu juu yake, 2 wala haitaendelea kuwaficha watu wake waliouawa.

Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1

Ezekiel 22:6“ ‘Ona jinsi kila mkuu wa Israeli aliyeko ndani yako anavyotumia nguvu zake kumwaga damu.

Ezekiel 34:21Kwa sababu mmewapiga kikumbo na kuwapiga kwa pembe zenu kondoo wote walio dhaifu mpaka wakawafukuza,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 7:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 7:2Micah 7Micah 7:4 →