Proverbs 17:16
Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore is there a price in the hand of a fool to get wisdom, seeing he hath no heart to it?
In Context
17Rafiki hupenda wakati wote 2 naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 1
Cross References
Psalms 81:11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; 2 Israeli hakutaka kunitii. 1
Proverbs 8:4“Ni ninyi wanaume, ninaowaita; 2 ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote. 1
Proverbs 14:6Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, 2 bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua. 1
Proverbs 21:25Kutamani sana kwa mvivu kutakuwa kifo chake, 2 kwa sababu mikono yake haitaki kufanya kazi. 1
Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1
John 3:20Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.