Proverbs 22:16
Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, 2 naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini. 1 Misemo Ya Wenye Hekima 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, 2 bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 1
17Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, 2 elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 1
Cross References
Job 20:19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; 2 amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 1
Proverbs 14:31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, 2 bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 1
Proverbs 28:3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi 2 ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 1
Micah 2:2Wanatamani mashamba na kuyakamata, 2 pia nyumba na kuzichukua. 1 Wanamlaghai mwanaume nyumba yake, 2 mwanadamu mwenzake urithi wake.
Luke 6:33Tena mkiwatendea mema wale tu wanaowatendea ninyi mema, mwapata sifa gani? Hata ‘wenye dhambi’ hufanya vivyo hivyo.
Luke 16:24Hivyo yule tajiri akamwita, ‘Baba Abrahamu, nihurumie na umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake ndani ya maji aupoze ulimi wangu, kwa sababu nina maumivu makuu kwenye moto huu.’