Proverbs 17:21
Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; 2 hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that begetteth a fool doeth it to his sorrow: and the father of a fool hath no joy.
In Context
22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri, 2 bali roho iliyopondeka hukausha mifupa. 1
Cross References
Genesis 26:34Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
1 Samuel 8:3Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Proverbs 10:1Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1
Proverbs 17:25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake 2 na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 1
Proverbs 23:15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, 2 basi moyo wangu utafurahi, 1
Philemon 1:19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.