Proverbs 17:28
Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza, 2 na mwenye ufahamu kama akiuzuia ulimi wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, 2 naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu. 1
Cross References
Job 13:5Laiti wote mngenyamaza kimya! 2 Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 1
Proverbs 15:2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1
Ecclesiastes 10:3Hata anapotembea barabarani, 2 mpumbavu hukosa ufahamu 1 na kudhihirisha kwa kila mmoja 2 jinsi alivyo mpumbavu. 1