Proverbs 17:7
Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu: 2 je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Excellent speech becometh not a fool: much less do lying lips a prince.
In Context
6Wana wa wana ni taji la wazee, 2 nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 1
8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1
Cross References
Job 34:12Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, 2 kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu. 1
Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1
Proverbs 16:10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, 2 wala kinywa chake hakipotoshi haki. 1
Proverbs 29:12Kama mtawala akisikiliza uongo, 2 maafisa wake wote huwa waovu. 1