The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 16 › Proverbs 16:10

Proverbs 16:10

Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, 2 wala kinywa chake hakipotoshi haki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A divine sentence is in the lips of the king: his mouth transgresseth not in judgment.

In Context

9Moyo wa mtu huifikiri njia yake, 2 bali Bwana huelekeza hatua zake. 1

11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; 2 mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 1

Read all of Proverbs 16

Cross References

Genesis 44:15Yosefu akawaambia, “Ni jambo gani hili mlilolifanya? Hamjui kuwa mtu kama mimi anaweza kufahamu mambo kwa njia ya kutabiri?”

2 Samuel 14:16Labda mfalme atakubali kumwokoa mtumishi wake kutoka mkononi mwa mtu anayejaribu kunikatilia mbali, mimi na mwanangu, kutoka kwenye urithi Mungu aliotupatia.’

1 Kings 3:28Wakati Israeli yote iliposikia hukumu aliyotoa mfalme, wakamwogopa mfalme, kwa sababu waliona kuwa alikuwa na hekima kutoka kwa Mungu kwa kutoa haki.

Psalms 72:1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako, 2 mwana wa mfalme kwa haki yako. 1

Proverbs 16:12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, 2 kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 1

Isaiah 32:1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 16:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 16:9Proverbs 16Proverbs 16:11 →