Proverbs 18:20
Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, 2 atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, 2 nao waupendao watakula matunda yake. 1
Cross References
Proverbs 13:2Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, 2 bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri. 1
Proverbs 22:21kukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika, 2 ili uweze kutoa majibu sahihi 2 kwake yeye aliyekutuma? 1