Proverbs 18:21
Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, 2 nao waupendao watakula matunda yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Death and life are in the power of the tongue: and they that love it shall eat the fruit thereof.
In Context
22Apataye mke apata kitu chema 2 naye ajipatia kibali kwa Bwana. 1
Cross References
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Proverbs 10:31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, 2 bali ulimi wa upotovu utakatwa. 1
Proverbs 12:13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, 2 bali mwenye haki huepuka taabu. 1
Proverbs 18:4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, 2 bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 1
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Romans 10:14Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?