Proverbs 12:13
Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, 2 bali mwenye haki huepuka taabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The wicked is snared by the transgression of his lips: but the just shall come out of trouble.
In Context
12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, 2 bali shina la mwenye haki hustawi. 1
Cross References
2 Samuel 4:9Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni, Mbeerothi, akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka taabu zote,
Psalms 5:6Unawaangamiza wasemao uongo. 2 Bwana huwachukia 2 wamwagao damu na wadanganyifu. 1
Psalms 34:20huhifadhi mifupa yake yote, 2 hata mmoja hautavunjika. 1
Psalms 64:8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao 2 na kuwaleta kwenye maangamizi; 1 wote wawaonao watatikisa vichwa vyao 2 kwa dharau. 1
Proverbs 10:8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, 2 lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Proverbs 15:2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 1