The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 19 › Proverbs 19:1

Proverbs 19:1

Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, 2 kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Better is the poor that walketh in his integrity, than he that is perverse in his lips, and is a fool.

In Context

2Sio vizuri kuwa na juhudi bila maarifa, 2 wala kufanya haraka na kuikosa njia. 1

Read all of Proverbs 19

Cross References

1 Samuel 25:17Sasa fikiri juu ya jambo hili na uone unaweza kufanya nini, kwa sababu maafa yanakaribia juu ya bwana wetu na nyumba yake yote. Yeye ni mtu mwovu kiasi kwamba hakuna mtu awezaye kuzungumza naye.”

Psalms 26:11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; 2 nikomboe na unihurumie. 1

Proverbs 12:26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, 2 bali njia ya waovu huwapotosha. 1

Proverbs 15:16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, 2 kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 1

Proverbs 19:22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho, 2 afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo. 1

Proverbs 28:6Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 19:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Proverbs 19Proverbs 19:2 →