Proverbs 28:6
Afadhali maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 kuliko tajiri ambaye njia zake ni potovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Watu wabaya hawaelewi haki, 2 bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 1
7Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu, 2 bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake. 1
Cross References
Proverbs 16:8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
Proverbs 19:22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho, 2 afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo. 1
Luke 16:19“Palikuwa na mtu mmoja tajiri aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, ambaye aliishi kwa anasa kila siku.