Proverbs 19:16
Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, 2 bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that keepeth the commandment keepeth his own soul; but he that despiseth his ways shall die.
In Context
15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1
17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1
Cross References
Job 5:2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
Proverbs 3:1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, 2 bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 1
Proverbs 15:32Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, 2 bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. 1
Proverbs 21:16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1
Proverbs 22:5Katika mapito ya waovu kuna miiba na mitego, 2 bali yeye ailindaye nafsi yake hukaa mbali nayo. 1
Ecclesiastes 8:5Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, 2 moyo wa hekima utajua wakati muafaka 2 na jinsi ya kutenda. 1