Proverbs 21:16
Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The man that wandereth out of the way of understanding shall remain in the congregation of the dead.
In Context
15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, 2 bali kitisho kwa watenda mabaya. 1
17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, 2 yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 1
Cross References
Psalms 49:14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, + 49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu. 2 nacho kifo kitawala. 1 Wanyofu watawatawala asubuhi, 2 maumbile yao yataozea kaburini, 2 mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 1
Proverbs 2:18Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo 2 na mapito yake kwenye roho za waliokufa. 1
Proverbs 7:26Aliowaangusha ni wengi; 2 aliowachinja ni kundi kubwa. 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Zephaniah 1:6wale wanaoacha kumfuata Bwana, 2 wala hawamtafuti Bwana 2 wala kutaka shauri lake. 1
Ephesians 2:1Kwa habari zenu, mlikuwa wafu katika makosa na dhambi zenu,