Proverbs 15:32
Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, 2 bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima 2 atakuwa miongoni mwa wenye hekima. 1
33Kumcha Bwana humfundisha mtu hekima, 2 nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Cross References
Deuteronomy 21:18Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,
Psalms 50:17Unachukia mafundisho yangu 2 na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 1
Proverbs 1:24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita 2 na hakuna yeyote aliyekubali 2 niliponyoosha mkono wangu, 1
Proverbs 8:33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima; 2 msiyapuuze. 1
Proverbs 15:14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 1
Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1