Proverbs 8:34
Heri mtu yule anisikilizaye mimi, 2 akisubiri siku zote malangoni mwangu, 2 akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed is the man that heareth me, watching daily at my gates, waiting at the posts of my doors.
In Context
33Sikilizeni mafundisho yangu mwe na hekima; 2 msiyapuuze. 1
35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1
Cross References
1 Kings 10:8Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Psalms 84:10Siku moja katika nyua zako ni bora 2 kuliko siku elfu mahali pengine; 1 afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu 2 kuliko kukaa katika mahema ya waovu. 1
Proverbs 1:21kwenye makutano ya barabara za mji 2 zenye makelele mengi hupaza sauti, 2 kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 1
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Matthew 7:24“Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.
Luke 10:39Martha alikuwa na mdogo wake aliyeitwa Maria, ambaye aliketi chini miguuni mwa Bwana akisikiliza yale aliyokuwa akisema.