Proverbs 2:13
wale waachao mapito yaliyonyooka 2 wakatembea katika njia za giza, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who leave the paths of uprightness, to walk in the ways of darkness;
In Context
12Hekima itakuokoa kutoka njia za waovu, 2 kutoka kwa watu ambao maneno yao yamepotoka, 1
14wale wapendao kutenda mabaya 2 na kufurahia upotovu wa ubaya, 1
Cross References
Job 24:13“Wako wale wanaoiasi nuru, 2 wasiofahamu njia zake 2 wala hawakai katika mapito yake. 1
Psalms 36:3Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, 2 ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema. 1
Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
Isaiah 59:8Hawajui njia ya amani, 2 hakuna haki katika mapito yao. 1 Wameyageuza kuwa njia za upotovu, 2 hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani. 1
Ezekiel 33:12“Kwa hiyo, mwanadamu, waambie watu wako, ‘Haki ya mtu mwenye haki haitamwokoa wakati anapoacha kutii, wala uovu wa mtu mwovu hautamsababisha yeye kuanguka anapotubu na kuacha uovu. Mtu mwenye haki, kama akitenda dhambi, hataishi kwa sababu ya uadilifu wake wa awali.’
Matthew 12:43“Pepo mchafu amtokapo mtu, hutangatanga katika sehemu zisizo na maji akitafuta mahali pa kupumzika, lakini hapati.