Proverbs 2:3
na kama ukiita busara 2 na kuita kwa sauti ufahamu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, if thou criest after knowledge, and liftest up thy voice for understanding;
In Context
2kutega sikio lako kwenye hekima 2 na kuweka moyo wako katika ufahamu, 1
4na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1
Cross References
1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”
Psalms 25:4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, 2 nifundishe mapito yako, 1
Psalms 119:73Mikono yako ilinifanya na kuniumba, 2 nipe ufahamu niweze kujifunza amri zako. 1
Psalms 119:169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako, 2 nipe ufahamu sawasawa na neno lako. 1
Proverbs 4:1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; 2 sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 1
Luke 11:13Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!” 1 Yesu Na Beelzebuli (Mathayo 12:22-30; Marko 3:20-27)