Proverbs 4:1
Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; 2 sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear, ye children, the instruction of a father, and attend to know understanding.
In Context
2Ninawapa mafundisho ya maana, 2 kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 1
Cross References
Psalms 34:11Njooni, watoto wangu, mnisikilize, 2 nitawafundisha kumcha Bwana. 1
Proverbs 1:8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Proverbs 2:3na kama ukiita busara 2 na kuita kwa sauti ufahamu, 1
Proverbs 6:20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1
Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1