Proverbs 20:14
“Haifai, haifai!” asema mnunuzi, 2 kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is naught, it is naught, saith the buyer: but when he is gone his way, then he boasteth.
In Context
13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, 2 uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 1
Cross References
Ecclesiastes 1:10Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, 2 “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? 1 Kilikuwepo tangu zamani za kale, 2 kilikuwepo kabla ya wakati wetu. 1
1 Thessalonians 4:6Katika jambo hili mtu asimkosee ndugu yake wala kumlaghai. Kwa kuwa Bwana ni mlipiza kisasi katika mambo haya yote, kama vile tulivyokwisha kuwaambia mapema na kuwaonya vikali.