Proverbs 20:17
Chakula kilichopatikana kwa hila ni kitamu kwa mwanadamu, 2 bali huishia na kinywa kilichojaa changarawe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Bread of deceit is sweet to a man; but afterwards his mouth shall be filled with gravel.
In Context
18Fanya mipango kwa kutafuta mashauri, 2 ukipigana vita, tafuta maelekezo. 1
Cross References
Genesis 3:6Mwanamke alipoona ya kuwa tunda la mti huo lilikuwa zuri kwa chakula na la kupendeza macho, tena linatamanika kwa kujipatia hekima, basi akachuma katika matunda yake, akala, pia akampa mumewe, aliyekuwa pamoja naye, naye akala.
Job 20:14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, 2 nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 1
Proverbs 9:17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1
Lamentations 3:15Amenijaza kwa majani machungu 2 na kunishibisha kwa nyongo. 1
Hebrews 11:25Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.