Proverbs 20:27
Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, 2 huchunguza utu wake wa ndani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The spirit of man is the candle of the LORD, searching all the inward parts of the belly.
In Context
26Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, 2 hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. 1
28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, 2 kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 1
Cross References
Genesis 2:7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Proverbs 20:30Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, 2 nayo michapo hutakasa utu wa ndani.
1 Corinthians 2:11Kwa maana ni nani anayejua mawazo ya mtu isipokuwa roho iliyo ndani ya huyo mtu? Vivyo hivyo hakuna mtu ajuaye mawazo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.
Hebrews 4:12Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.