Proverbs 21:9
Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, 2 kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is better to dwell in a corner of the housetop, than with a brawling woman in a wide house.
In Context
8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, 2 bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 1
10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, 2 jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 1
Cross References
Proverbs 12:4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, 2 bali aaibishaye ni kama uozo 2 katika mifupa ya mumewe. 1
Proverbs 17:1Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu 2 kuliko kukaa kwenye nyumba ya karamu kukiwa na magomvi. 1
Proverbs 21:19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1
Proverbs 27:15Mke mgomvi ni kama 2 matone yasiyokoma ya siku ya mvua. 1