The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 32 › Isaiah 32:6

Isaiah 32:6

Kwa kuwa mpumbavu hunena upumbavu, 2 moyo wake hushughulika na uovu: 1 Hutenda mambo yasiyo ya kumcha Mungu, 2 na hueneza habari za makosa kuhusu Bwana; 1 yeye huwaacha wenye njaa bila kitu, 2 na wenye kiu huwanyima maji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the vile person will speak villany, and his heart will work iniquity, to practise hypocrisy, and to utter error against the LORD, to make empty the soul of the hungry, and he will cause the drink of the thirsty to fail.

In Context

5Mpumbavu hataitwa tena muungwana, 2 wala mtu mbaya kabisa kupewa heshima ya juu. 1

7Taratibu za mtu mbaya kabisa ni ovu, 2 hufanya mipango miovu 1 ili kumwangamiza maskini kwa uongo, 2 hata wakati ambapo hoja za mhitaji ni za haki. 1

Read all of Isaiah 32

Cross References

1 Samuel 25:10Nabali akawajibu watumishi wa Daudi, “Huyu Daudi ni nani? Huyu mwana wa Yese ni nani? Watumishi wengi wanakimbia kutoka kwa bwana zao siku hizi.

Job 24:2Watu husogeza mawe ya mpaka; 2 huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 1

Proverbs 11:24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1

Isaiah 3:15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Isaiah 59:13Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana, 2 kumgeuzia Mungu wetu kisogo, 1 tukichochea udhalimu na maasi, 2 tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi. 1

Ezekiel 34:18Je, haiwatoshi ninyi kujilisha kwenye malisho mazuri? Je, ni lazima ninyi kuyakanyaga pia malisho yenu yaliyobaki kwa miguu yenu? Je, haiwatoshi ninyi kunywa maji safi? Je, ni lazima kuyachafua maji mengine kwa miguu yenu?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 32:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 32:5Isaiah 32Isaiah 32:7 →