Proverbs 21:23
Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake 2 hujilinda na maafa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whoso keepeth his mouth and his tongue keepeth his soul from troubles.
In Context
22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu, 2 na kuangusha ngome wanazozitegemea. 1
24Mtu mwenye kiburi na majivuno, “Mdhihaki” ndilo jina lake; 2 hutenda mambo kwa kiburi kilichozidi. 1
Cross References
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Proverbs 13:3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, 2 bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 1
Proverbs 17:27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, 2 naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu. 1
James 1:26Kama mtu akidhani ya kuwa anayo dini lakini hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hujidanganya moyoni mwake, wala dini yake mtu huyo haifai kitu.