Proverbs 13:3
Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake, 2 bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1
Cross References
Judges 16:11Akamwambia, “Wakinifunga kwa uthabiti kwa kamba mpya ambazo hazijatumika, basi nitakuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote.”
Psalms 39:1Nilisema, “Nitaziangalia njia zangu 2 na kuuzuia ulimi wangu usije ukatenda dhambi; 1 nitaweka lijamu kinywani mwangu 2 wakati wote waovu wanapokuwa karibu nami.” 1
Proverbs 10:19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, 2 lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 1
Proverbs 14:3Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake, 2 bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 1
Proverbs 18:21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, 2 nao waupendao watakula matunda yake. 1
Proverbs 21:23Yeye alindaye kinywa chake na ulimi wake 2 hujilinda na maafa. 1