The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 22 › Proverbs 22:18

Proverbs 22:18

kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako 2 na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For it is a pleasant thing if thou keep them within thee; they shall withal be fitted in thy lips.

In Context

17Tega sikio na usikie misemo ya wenye hekima, 2 elekeza moyo wako kwenye yale nifundishayo, 1

19Ili tumaini lako liwe katika Bwana, 2 hata wewe, ninakufundisha leo. 1

Read all of Proverbs 22

Cross References

Psalms 19:10Ni za thamani kuliko dhahabu, 2 kuliko dhahabu iliyo safi sana, 1 ni tamu kuliko asali, 2 kuliko asali kutoka kwenye sega. 1

Psalms 119:103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, 2 matamu kuliko asali katika kinywa changu! 1

Psalms 119:162Nafurahia ahadi zako 2 kama mtu aliyepata mateka mengi. 1

Proverbs 2:10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, 2 nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 1

Proverbs 4:20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; 2 sikiliza kwa makini maneno yangu. 1

Proverbs 8:6Sikilizeni, kwa maana nina mambo muhimu ya kusema; 2 ninafungua midomo yangu kusema lililo sawa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 22:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 22:17Proverbs 22Proverbs 22:19 →