Proverbs 23:21
kwa maana walevi na walafi huwa maskini, 2 nako kusinzia huwavika matambara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the drunkard and the glutton shall come to poverty: and drowsiness shall clothe a man with rags.
In Context
20Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo, 2 au wale walao nyama kwa pupa, 1
22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, 2 wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 1
Cross References
Deuteronomy 21:20Watawaambia wazee, “Huyu mwanetu ni mkaidi na mwasi. Hatutii sisi, yeye ni mpotovu na mlevi.”
Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Proverbs 21:17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, 2 yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 1
Ecclesiastes 10:18Kama mtu ni mvivu paa la nyumba huinama, 2 kutokana na mikono milegevu, nyumba huvuja. 1
Joel 1:5Amkeni, enyi walevi, mlie! 2 Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo, 1 pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya, 2 kwa kuwa mmenyangʼanywa 2 kutoka midomoni mwenu. 1
1 Corinthians 6:10wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyangʼanyi hawataurithi Ufalme wa Mungu.