The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 23 › Proverbs 23:9

Proverbs 23:9

Usizungumze na mpumbavu, 2 kwa maana atadhihaki hekima ya maneno yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Speak not in the ears of a fool: for he will despise the wisdom of thy words.

In Context

8Utatapika kile kidogo ulichokula, 2 nawe utakuwa umepoteza bure 2 maneno yako ya kumsifu. 1

10Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima, 1

Read all of Proverbs 23

Cross References

Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1

Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1

Isaiah 36:21Lakini wale watu wakakaa kimya, wala hawakujibu lolote, kwa kuwa mfalme alikuwa amewaamuru, “Msimjibu lolote.”

Luke 16:14Mafarisayo, waliokuwa wapenda fedha, waliyasikia hayo yote na wakamcheka kwa dharau.

John 9:30Yule mtu akawajibu, “Hili ni jambo la ajabu! Hamjui anakotoka, naye amenifungua macho yangu!

John 10:20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 23:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 23:8Proverbs 23Proverbs 23:10 →