Proverbs 24:22
kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao, 2 naye ni nani ajuaye maafa wawezayo kuleta? 1 Misemo Zaidi Ya Wenye Hekima
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For their calamity shall rise suddenly; and who knoweth the ruin of them both?
In Context
21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1
23Hii pia ni misemo ya wenye hekima: 1 Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: 1
Cross References
1 Samuel 31:1Basi Wafilisti wakapigana na Israeli. Waisraeli wakawakimbia, na wengi wakauawa katika Mlima Gilboa.
2 Samuel 18:8Vita vikaenea nchi nzima, watu wengi zaidi wakifia msituni siku hiyo kuliko waliouawa kwa upanga.
2 Chronicles 13:16Waisraeli wakakimbia mbele ya Yuda, naye Mungu akawatia Israeli mikononi mwao.
Proverbs 6:15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; 2 ataangamizwa mara, pasipo msaada. 1
Proverbs 20:2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1
Hosea 5:11Efraimu ameonewa, 2 amekanyagwa katika hukumu 2 kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu. 1