Proverbs 24:3
Kwa hekima nyumba hujengwa, 2 nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Through wisdom is an house builded; and by understanding it is established:
In Context
2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, 2 nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara. 1
4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa 2 vitu vya thamani na vya kupendeza. 1
Cross References
2 Samuel 7:26ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘ Bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
Proverbs 14:1Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, 2 bali mpumbavu huibomoa nyumba yake 2 kwa mikono yake mwenyewe. 1
1 Corinthians 3:9Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu.