Proverbs 14:1
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, 2 bali mpumbavu huibomoa nyumba yake 2 kwa mikono yake mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every wise woman buildeth her house: but the foolish plucketh it down with her hands.
In Context
Cross References
Ruth 4:11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.
1 Kings 21:24“Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.”
Proverbs 9:13Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; 2 hana adabu na hana maarifa. 1
Proverbs 21:9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, 2 kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 1
Proverbs 24:3Kwa hekima nyumba hujengwa, 2 nayo kwa njia ya ufahamu huimarishwa 1
Proverbs 31:16Huangalia shamba na kulinunua, 2 kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 1