Proverbs 15:31
Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima 2 atakuwa miongoni mwa wenye hekima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The ear that heareth the reproof of life abideth among the wise.
In Context
30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni, 2 nazo habari njema huipa mifupa afya. 1
32Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe, 2 bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. 1
Cross References
Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1
Proverbs 13:20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, 2 bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. 1
Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1
Ecclesiastes 7:5Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, 2 kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu. 1
John 15:3Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi.